MCHUNGAJI MGOGO- KUNA WANAUME NI VIUMBE WA AJABU SANA, WANATIA MIMBA MIMBA NA KUTELEKEZA HALAFU WAPO KANISANI WANAIMBA KWAYA ETI MUNGU ASIWAACHE,
BINTI ZANGU MSIPOKUA MAKINI MTAENDELEA KUTESWA, EBU JONGEZEENI THAMANI WANANGU
KUKURUKENI WANAGU.
NA WEWE KIJANA WA KIUME AMBAYE UMEZALISHA BINTI NA KUMUACHA ANATESEKA, NAKUSHAURI UFANYE MAPANGO WA KUMTUNZA HUYO MTOTO, MAANA MBEGU UNAYOPANDA NI MBAYA NA LAZIMA UTAIVUNA
KAMA UNGEPENDA KUFUATILIA MAFUNIDISHO, SUBSCRIBE CHANNEL YETU INAYORUSHA MAFUNDISHO KILA WIKI KWA BUBONYEZA HAPO CHINI KWENYE NENO SUBSCRIBE👇👇👇
DOWNLOAD VIDEO HII, BONYEZA HAPA 👇👇
ASANTE KARIBU SANA ENDELEA KUFUATILIA MAFUNDISHO ZAIDI
No comments:
Post a Comment