WATU WENGI WANAPENDA SANA KUSEMA UKWELI LAKINI LINAPOKUJA SWALA LA KUSIMAMIA KUWELI WAO INAKUWA SHIDA SANA, HIVYO NDUGU TABUA KWAMBA UKWELI UNA GHARAMA NA WAKATI MWINGINE UNAWEZA KU GHARIMU HATA MAISHA YAKO, UWE TAYARI KWA LOLOTE MAANA HATA YESU NAYE ALIEKUJA NA KWELI MWISHO WA SIKU ALIONEKANA HAFAI NA AKASULUBIWA
PASTOR DANIEL MGOGO
SUBSCRIBE CHANNEL HII ILI UENDELEE KUPOKEA MAFUNDISHO ZAIDI
👇👇👇
No comments:
Post a Comment